🕌

El Ghazzal Team Dunia........Qaswida Qudura

Tangazo moja au mbili litaonyeshwa kabla ya video kuanza.

Matangazo yanasaidia kuendesha Faraja Yangu TV bila malipo

El Ghazzal Team Dunia........Qaswida Qudura

64 views Mziki Moto · Ladha za Dufu 58 dakika

Tayari tumekusogezea kazi mpya kabisa! Qaswida maalum kwa wapenzi wa Ghazal na utamaduni wa jamvi ni vita vimethihirishwa na hawa miamba kutoka Dar es salaam na Zanzibar. Burudani iliyosheheni hisia na radha ya kipekee ambayo hutaipata kwingine.

Kiungo kimenakiliwa ✓
Fungua kwenye App ya Faraja Yangu TV (Google Play)