🕌

Tajweed Madrasa.....Qaswida Maluuni

Tangazo moja au mbili litaonyeshwa kabla ya video kuanza.

Matangazo yanasaidia kuendesha Faraja Yangu TV bila malipo

Tajweed Madrasa.....Qaswida Maluuni

32 views Mziki Moto · Ladha za Dufu 36 dakika

Qaswida iliyotikisa uwanja kwa ustadi wa hali ya juu kuanzia Answa, pisi na chini zikivuta hisia za mashabiki na kuleta taharuki kubwa ndani ya uwanja wa Takrima. Usikose kushuhudia ubunifu huu wa kipekee — karibu uisikilize Qaswida ‘Maluuni’ kutoka kwa Tajweed.

Kiungo kimenakiliwa ✓
Fungua kwenye App ya Faraja Yangu TV (Google Play)